
Huduma Zetu
Suluhisho kamili za safari za Hajj na Umrah zilizoundwa kufanya safari yako iwe salama, na ya kukumbukwa.

Hijja 2026 / 1447H
Safari kamili ya Hijja kwa mwaka 2026 (1447 Hijriya) huduma bora za usafiri, makazi, na mafunzo.

Umrah December 2025
Safari ya Umrah ya siku kumi na huduma kamili pamoja na zawadi ya maji ya Zamzam.
Mipango ya Ndege
Usafiri wa ndege wa kampuni zenye viwango vya kimataifa kama :
- oman Air
- Qatar Airways
- Dubai Air
Makazi
Hoteli za viwango vya juu zilizokuepo karibu sana na miskiti yote miwili ya Makkah na Madinah
- Karibu sana na maeneo takatifu
- Chakula milo mitatu kwa siku
- Matibabu masaa 24
Mafunzo
Tunatoa mafuzo na semina za hija kabla ya safari na ndani ya safari
- Tunatoa Vitabu vya mafunzo ya hija kwa lugha ya kiswahili
- Tunaandaa Makongamano ya Elimu ya Hija kila Mkoa na kila mwaka
Usafiri
Tunatoa usafiri kutoka kila mkoa mpaka sehemu ya kuondokea na ziara ya maeneo yote matakatifu
- Usafiri utaanza mkoa ulipo
- ziara ya maeneo matakatifu na ya kihistoria Makkah na Madinah
Vibali vya Safari
Bima kamili ya safari inayojumuisha dharura za matibabu, kujaliwa katika safari
- Ubora wa matibabu
- Usalama wa safari
- Usalama wa mizigo yako
- Msaada wa saa 24/7
Msaada wa Saa 24/7
Msaada Kwa mahujaji wetu Kwa masaa 24/7 kuanzia mwanzo wa safari mpk kurudi kwako Tanzania. Na Msaada wa dharura unaopatikana mda wowote.
- upatikaji wa Matibabu masaa 24
- upatikanaji wa msaada wowote ndani ya uwezo wetu 24/7
Kwa Nini Uchague Zadaawa?
Kuhusu Zadaawa
ZADAAWA HAJJ ni taasisi ya HIJJA inayosafirisha WATANZANIA wote kutoka pande zote za DUNIA kwenda kutekeleza IBADA YA HIJJA
Mafunzo kutoka kwa wataalamu wa kidini
Tunafuata misingi ya Quran na Sunnah katika huduma zetu zote.
Uzoefu wa zaidi ya miaka 12
Tumejitolea kuhakikisha kila muislamu anajua nafasi yake katika IBADA hio.
Ofisi zetu ziko Pemba, Unguja, na Dar es Salaam
Kila mwenye uwezo wa kwenda HIJJA aende HIJJA.
Mahujaji Wetu Wanasemaje
Soma ushuhuda kutoka kwa Mahujaji wetu walioridhika ambao wamekamilisha safari zao za hijja na umrah na Shirika letu la Zadaawa.
“Zadaawa ilifanya safari yangu ya Hajj iwe rahisi sana. Makazi yalikuwa bora, napendekeza yoyote kusafiri na Zadaawa”
“Uzoefu wangu wa Umrah na Zadaawa ulikuwa zaidi ya matarajio. Timu ilikuwa ya kitaalamu, yenye huruma, na ilihakikisha kila kitu kilikuwa kamili.”
“Kutoka kwa ushauri wa mwanzo hadi kurudi nyumbani, Zadaawa ilitoa huduma bora. Mafunzo Bora ya hajj yalinisaidia kufanya ibada zangu kwa usahihi.”
Ofisi Zetu
Tunapatikana katika maeneo muhimu ya Zanzibar na Tanzania Bara
Pemba
Chake chini ya WIZARA YA AFYA
Jirani na panapouzwa Ticket za Sealink
Ofisi Kuu
0773011414
Unguja
Mchina mwanzo njia ya Jang'ombe
Nyuma ya Masjid Azhar
0777418696
Dar es Salaam
Kinyelezi Mwisho
0778130308