
Safari ya Umrah
Umrah December 2025
Safari ya Umrah ya siku kumi na huduma kamili pamoja na zawadi ya maji ya Zamzam
TZS 5,000,000
Gharama tu
*Including all services
Vipengele Muhimu
Huduma bora na vipengele vya kipekee vya safari ya Umrah
Siku 10
Muda wa Safari
Hoteli Karibu
Karibu na Miskiti Miwili
Zamzam 5L
Zawadi ya Maji
Huduma za Safari ya Umrah
Safari kamili ya Umrah na huduma bora za usafiri, makazi, na mafunzo
Safari itadumu kwa mda wa siku kumi tu.
Hoteli ipo karibu na misikiti yote miwili (Makka na Madina).
Ziara ya maeneo matakatifu na ya kihistoria Makka na Madina.
Hiramu/Kanga na zawadi ya maji ya Zamzam lita 5.
Mafunzo ya Umrah kabla na ndani ya safari.
Utapata kufanya Umrah mara mbili kwa kuhirimia kwenye vituo vikuu kwenye safari moja.
NB: Na tunamfanyia mtu UMRA kwa TZS 1,000,000 tu.

Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana
Za Umra ziwe hizi
1
0773011414
2
0777459359
3
0658405429
Tayari Kuanza Safari Yako?
Wasiliana na wataalamu wetu leo na uanze safari yako ya kiroho ya Umrah
Safari ya Umrah
Picha za safari za Umrah na maeneo matakatifu ya Makka na Madina

Makka Al-Mukarrama
Nyumba ya Mungu

Madina Al-Munawwara
Miskiti wa Mtume

Safari ya Umrah
Mahujaji Wetu