
Safari ya Kiroho
Hijja 2026 / 1447H
INAWATANGAZIA WAISLAMU WOTE KUWA INAENDELEA KUANDIKISHA MAHUJAJI KWA SAFARI YA HIJJA KWA MWAKA 2026 SAWA NA MWAKA 1447 HIJIRIYA
$6,300
Gharama tu
*Including all services
Vipengele Muhimu
Huduma bora na vipengele vya kipekee vya safari ya Hijja
Mwezi Mmoja
Muda wa Safari
Makka & Madina
Kuanzia Makka, Kumalizia Madina
Msaada 24/7
Mawasiliano zinapatikana
Huduma Zitolewazo
Safari kamili na huduma bora za usafiri, makazi, na mafunzo kwa mahujaji wetu
KUONDOKA MAPEMA NA KUFIKA MAKKA MAPEMA.
SAFARI YETU INANZIA MAKKA NA KUMALIZIA MADINA.
HOTELI KARIBU NA MISKIT MIWILI WA MAKKA NA MADINA.
SAFARI ITADUMU TAKRIBAN MWEZI MMOJA.
SAFARI ITAANZIA MKOA ULIPO.
UTAPEWAA MABEGI MAWILI YA KUSAFIRIA PAMOJA NA RASKETI MOJA.
ZIARA SEHEMU ZOTE TAKATIFU MAKKA NA MADINA.
IHRAMU KWA WANAUME NA KANGA KWA WANAWAKE.
KUCHINJIA MWANNAH.
CHAKULA MILO MITATU KWA SIKU PAMOJA NA MATIBABU.
DARSA MAALUMU KABLA YA HIJJA NA WAKATI WA HIJJA.

Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana
Wasiliana na wataalamu wetu kwa msaada na maelezo zaidi kuhusu safari ya Hijja
Pemba
Chake chini ya WIZARA YA AFYA
Jirani na panapouzwa Ticket za Sealink
SHKH NASSOR ALI AHMAD0777459359
BI SHAKILA KHALID SAID0773011212
ABDUL-WAHAB NASSOR ALI0773011414
KHALIFA ALI OMAR0625131797
JUWAIRIA NASSOR ALLY0658405429
Unguja
Mchina mwanzo njia ya Jang'ombe
Nyuma ya Masjid Azhar
AL-HAJ MOHD KHALID SAID0777418696
ALHAJ ABDALA TAMIM0777420488
KHADIJA KHALID SAID0773025208
BI MWANJUMA KASSIM SHIMEW0777401283
Dar es Salaam
Kinyelezi Mwisho
Ofisi Kuu
SEIF ALI MAARUFU BIN KHATUUR0778130308
SHEIKH ABDILLAHI HASSAN0625077342
MOHD RASHID HAMAD0655278157
Tayari Kuanza Safari Yako?
Wasiliana na wataalamu wetu leo na uanze safari yako ya kiroho ya Hijja
Safari ya Kiroho
Picha za safari za awali na maeneo matakatifu ya Makka na Madina

Makka Al-Mukarrama
Nyumba ya Mungu

Madina Al-Munawwara
Miskiti wa Mtume

Safari ya Kiroho
Mahujaji Wetu