SEMINA ZA HIJJA NA UMRA
Tunawakaribisha Waislamu wote kuhudhuria semina za maandalizi ya Hijja na Umra — kwa wenye nia na hata wasiokuwa na nia, wote mnakaribishwa kujifunza.
akhiyabdulalmixriy172@gmail.com
📍Unguja: Kila Jumamosi
📍Pemba: Kila Jumapili
📍Dar es Salaam: Kila Jumamosi na Jumapili
⏰ Muda: Saa Tatu Asubuhi
Karibuni sana mjifunze, mujiandae, na muimarishe ibada zenu.
